Kisanga

Kisanga

Realistic4 Chapters17.8K Views
Author: John_Raphael_8794
(not enough ratings)
Overview
Table of Contents
Synopsis

Binaadamu tumeumbwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kutatua changamoto zinazo tuzunguka, lakini kuna wakati jitihada zetu hazitoshi kujitoa kwenye dhahama hivo kuna mda tunahitaji tusaidiwe na mungu au matokeo ya kisayansi.



Kisanga ni riwaya iliyoegemea kwenye matukio yetu ya kila siku, inaonesha jinsi stela na chazi wanavyo pambana kuishi na kujitoa ndani y chumba ambacho kimefungwa.

0 Reviews
(not enough ratings)
Translation Quality
Stability of Updates
Story Development
Character Design
World Background
Share your thoughts with others