PAINTED LOVE

PAINTED LOVE

Realistic1 Chapters2.0K Views
Author: its_cana
(not enough ratings)
Overview
Table of Contents
Synopsis

Ni story inayowahusu watu wawili wakike anaefahamika kwa jina la Mayrah Gonzalez binti ambae maisha Yake yote ameishi bila kutambua baba yake mzazi ni nani kupelekea kuishi na mama pekee na wakiume Mwenye jina la Apollo Ferris kijana wa familia ya kitajiri.

Hawa wawili wanajikuta wakiwa wanalazimishwa kuowana licha ya Kila mmoja akiwa Hana mapenzi na mwenzake ingawa wazazi wao ni business partners na kupitia hao ndio wakaamua kuwaoza vijana wao ili kudumisha partnership yao

Painted Love kama jina la story linaonyesha jinsi gani mapenzi yamefanywa kama kazi ya Sanaa ya mchoraji kwamba chochote anachotaka kukichora basi atakifanya kwa mapenzi yake ingawa sivyo mapenzi halisi yalivyo katika Hali ya kawaida......Written By Wolfking Cana

You May Also Like
0 Reviews
(not enough ratings)
Translation Quality
Stability of Updates
Story Development
Character Design
World Background
Share your thoughts with others