WebNoveldaniella100.00%

Familia

"Daniella inabidi uamke utachelewa kikao"linah anamwambia daniella uku akishuka ngaz

"Holy shit,am really tired of these family business ,every week gosh!"Akitoka kitandani nakuanza kujiandaa

Daniella ni binti mrembo,anashahada ya biashara anaongea lugha 5 tofaut ,nimchoraji na pia ni dancer anadarasa la kufundisha watu anayoshilikiana na rafki ake linah bila familia yake kujua

"Nimemalizaa"daniella alismile baada ya kuongea

"Wow! Umependeza nauhakika Jessica ataona wivu akikuona"

"Yoh! That witch lazimaa..Ngoja niondoke nishachelew Kikao kikiisha mapema Ntakuja dalinah studio nirefresh kudance"

"Okayy baadae ..usisahau kumsalimia my crushy!!!!"

Daniella akasmile na kwenda Kwenye gari aina ya range rover na kupeleka Smith main group company

"How have you been my princess"roger alimkumbatia binti ake mapenzi

"My hero am good and healthy...nadhan Dinah yupo poa"daniella alimwambia babe ake na kumkumbatia huku akimwangalia mama ake wakambo

"Well unatakiwa useme mama sio Dinah "alimuonya mtoto ake

"Baba sina haja ya kurudia maneno yangu siku ya leo ..nipo Kwenye mood poa sana leo "

"Roger usimlazimishe mtoto Bado tunaishi natumaini ipo sik u atanikubali kama mama"dinah Aliongea nakumwangalia daniella ambae alizungusha jicho na kuondoka kwa dharau

Nakupisha na Jessica mtoto wa Dinah nakutazamana kama maadui...Dinah anawatoto 3 Jessica,franko na Gideon

Na daniella alizaliwa na Andrew ambae mama yao alifariki kipind daniella yupo highschool Joan

"Naona mtu kakasirika Chris leo au ww huon"Andrew akimwambia mpwa wake Chris

"Naachaje kimfano..afu akinuna anapendeza gosh!"

"Njoo hapa mtoto wa mwisho "Andrew akimkumbatia mdogo ake

"Nimekumiss Hivi huko England wamekupa nn mpka ukae muda wote huo"danielaa akimhoji kaka ake

"Nilikua namtafutia mdogo angu zawad maana bila hicho hatonielewa"alimtania

"Haya imetosha daniella hujanimiss na mm kwelii"chriss akimwangalia

"Well linah I think ..anakusalimia piaa"

"Hayaa ni mudaa"